• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  GIROUD APIGA HAT TRICK ARSENAL IKIUA 4-0 ENGLAND

  Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao matatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Arsenal limefungwa na kipa wa Villa, Mark Bunn aliyejifunga akijaribu kuokoa shuti la Mikel Arteta lililomgonga na kutinga nyavuni  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA HAT TRICK ARSENAL IKIUA 4-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top