• HABARI MPYA

    Sunday, May 01, 2016

    FARID MUSSA ANAVYOWAONYESHA KAZI WAZUNGU HISPANIA SI MCHEZO

    Winga wa kimataifa wa Tanzania, Farid Mussa (kushoto) akiwatoka wachezaji wenzake, Deportivo Tenerife katika mazoezi ya timu hiyo jana mjini Tenerife. Farid yuko huko kwa majaribio ambayo anaendelea nayo vizuri na tayari amekwishafanyiwa vipimo vya afya
    Farid Mussa (kushoto) akimiliki mpira jana katika mazoezi ya Tenerife

    Farid Mussa (kushoto) akijiandaa kupiga mpira jana katika mazoezi ya Tenerife


    Farid Mussa (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Azam FC, Yussuf Bakhresa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FARID MUSSA ANAVYOWAONYESHA KAZI WAZUNGU HISPANIA SI MCHEZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top