• HABARI MPYA

    Wednesday, May 18, 2016

    SERENGETI BOYS NA INDIA KATIKA PICHA JANA GOA

    Mshambuliaji wa Tanzania 'Serengeti Boys, Amani Maziku akimtoka beki wa India katika mchezo wa mashindano ya kirafiki ya vijana chini ya umri wa miaka 16 Uwanja wa Tilak Maidan Stadium mjini Goa, India jana. Serengeti Boys ilishinda 3-1
    Kiungo wa Tanzania Asad Ally akiwania mpira wa juu dhidi ya kipa wa India
    Wachezaji wa India na Tanzania wakiwania mpira wa juu
    Mohamed Abdallah wa Tanzania akipiga mpira kichwa dhidi ya mchezaji wa India
    Mchezaji wa India akimtoka mchezaji wa Tanzania
    Wachezaji wa Tanzania wakifurahia ushindi wao jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA INDIA KATIKA PICHA JANA GOA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top