• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  CHELSEA YATOA DROO NA MABINGWA LEICESTER 1-1 DARAJANI

  Kipa wa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya England, Leicester City, Kasper Schmeichel akirukia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Chelsea, Pedro katika mchezo wa ligi hiyo jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1, Cesc Fabregas alianza kuwafungia wenyeji kwa penalti dakika ya 66 baada ya Nemanja Matic kuchezewa rafu kwenye boksi, kabla ya kiungo Danny Drinkwater kuisawazishia Leicester zikiwa zimebaki dakika nane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATOA DROO NA MABINGWA LEICESTER 1-1 DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top