• HABARI MPYA

    Monday, May 16, 2016

    AZAM FC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI

    Winga wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akimtoka beki wa African Sports katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara njana Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Azam FC ilishinda 2-1
    Kiungo wa Azam FC, Himid Mao akimtoka mchezaji wa African Sports jana Mkwakwani
    Kiungo wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' akimtoka mchezaji wa African Sports
    Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akimtoka beki wa African Sports jana 
    Makocha wapya wa Azam FC kutoka Hispania, Jonas Garcia Luis (wa pili kushoto) na Zebensul Hernandez Rodrguez (wa pili kulia) wakiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Saad Kawemba (kulia) na Katibu Mkuu, Nassor Idrissa (kushoto) jana Uwanja wa Mkwakwani
    Makocha wanaomalizia muda wao, Muingereza Stewart John Hall (kulia) na Wasaidizi wake
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA AFRICAN SPORTS KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top