• HABARI MPYA

    Saturday, May 07, 2016

    AMIR KHAN ULINGONI LEO MAREKANI NA BABE LA MEXICO

    Bondia Canelo Alvarez wa Mexico (kushoto) akitunishiana misuli na Amir Khan wa Uingereza usiku wa jana wakati wa kupima uzito kuelekea pambano lao la leo la ubingwa wa dunia wa WBC uzito wa Middle ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AMIR KHAN ULINGONI LEO MAREKANI NA BABE LA MEXICO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top