• HABARI MPYA

  Sunday, May 08, 2016

  ALVAREZ AMLAZA USINGIZI WA PONO AMIR KHAN RAUNDI YA SITA

  Saul 'Canelo' Alvarez wa Mexico akiwa amesimama kushoto kumshuhudia mpinzani wake, Muingereza Amir Khan akiwa amelala 'usingizi mnono' baada ya kumbwaga chini raundi ya sita katika pambano la ubingwa wa dunia WBC uzito wa Middle usiku wa kuamkia leo ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Marekani PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ALVAREZ AMLAZA USINGIZI WA PONO AMIR KHAN RAUNDI YA SITA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top