• HABARI MPYA

    Saturday, May 21, 2016

    ALI KIBA ALIPOWAPONGEZA YANGA KUTINGA MAKUNDI AFRIKA

    Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Ali Kiba (mwenye kofia) akiwa na wachezaji wa Yanga SC Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana wakati timu hiyo ilipowasili kutoka Angola ambako iliitoa Sagrada Esperanca ya Angola na kukata tiketi ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALI KIBA ALIPOWAPONGEZA YANGA KUTINGA MAKUNDI AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top