• HABARI MPYA

    Monday, April 18, 2016

    SIMBA NA TOTO KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kulia) akitafuta maarifa ya kumpokonya mpira kiungo wa Toto Africans ya Mwanza, Jaffar Mohammed (katikati). Mwingine kushoto na kiungo wa Toto iliyoshinda 1-0, Abdallah Seseme

    Mshambuliaji wa Simba, Hamisi Kiiza akimiliki mpira mbele ya beki wa Toto, Yussuf Mlipili

    Hamisi Kiiza (kushoto) akimiliki mpira pembeni ya Abdallah Seseme wa Toto

    Mshambuliaji wa Simba, Mussa Hassan Mgosi akiwatoka mabeki wa Toto

    Mshambuliaji wa Siimba, Danny Lyanga akimtoka beki wa Toto, Hassan Khatib

    Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Hajib akimuacha chini beki wa Toto, Yussuh Mlipili

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA NA TOTO KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top