• HABARI MPYA

    Saturday, April 16, 2016

    RONALDO AFUNGA LA MWISHO DAKIKA YA MWISHO, REAL YAMPA MTU MKONO LA LIGA

    Mshambuliaji wa Real Madrid, Ronaldo Ronaldo (katikati) akishirikiana na Lucas Vazquez (wa pili kulia) kuwania mpira dhidi ya kipa wa Getafe, Guaita katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez. Ral imeshinda 5-1 mabao yake yakifungwa na Karim Benzema dakika ya 29, Isco dakika ya 40, Gareth Bale dakika ya 50, James Rodriguez dakika ya 88 na Ronaldo dakika ya 90, huku la wenyeji likifungwa na Sarabia dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AFUNGA LA MWISHO DAKIKA YA MWISHO, REAL YAMPA MTU MKONO LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top