• HABARI MPYA

  Sunday, April 10, 2016

  REAL NYINGINE YAITWANGA BARCELONA LA LIGA

  Beki wa Real Sociedad, Esteban Granero (kulia) akimzuia mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Anoeta. Real imeshinda 1-0, bao pekee la kinda wa miaka 18, Mikel Oyarzabal, huo ukiwa mchezo wa pili mfululizo kupoteza katika La Liga baada ya wiki iliyopita kufungwa 2-1 na mahasimu Real Madrid katika El Clasico PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL NYINGINE YAITWANGA BARCELONA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top