• HABARI MPYA

    Saturday, April 09, 2016

    NASRI AREJEA NA BAO MAN CITY YASHINDA 2-1

    Samir Nasri wa Manchester City akishangili baada ya kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Bromwich Albion Uwanja wa Etihad leo. Bao lingine la Man City limefungwa na Sergio Aguero kwa penalti wakati la WBA limefungwa na Stephane Sessegnon PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NASRI AREJEA NA BAO MAN CITY YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top