• HABARI MPYA

    Monday, April 18, 2016

    MAZOEZI YA KWANZA YA AZAM FC TUNIS JANA

    Kiungo wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwaongoza wenzake mazoezini jana kwenye Uwanja wa hoteli ya Carthage Thalasso mjini Tunis, Tunisia kujiandaa na mchezo wa maruidiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Esperance kesho mjini hapa 

    Kutoka kulia ni Khamis Mcha, John Bocco, Racine Diouf na Didier Kavumbangu

    Wachezaji wa Azam FC wakijifua jana mjini Tunis saa chache baada ya kuwasili kutoka Dar es Salaam

    Kulia ni Jean Baptiste Mugiraneza na kushoto ni Farid Mussa

    Baada ya mazoei waliingia kwenye bwawa la kuogelea kulainisha misuli

    Baadhi ya viongozi wa timu waliopo kwenye mafara wa timu mjini Tunis

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAZOEZI YA KWANZA YA AZAM FC TUNIS JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top