• HABARI MPYA

    Sunday, April 17, 2016

    LEICESTER CHUPUCHUPU KUGONGWA NYUNDO KING POWER

    Leonardo Ulloa wa Leicester City akishangilia bao lake la dakika 95 kwa penalti katika sare ya 2-2 na West Ham United jioni ya leo Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester limefungwa na Jamie Vardy, wakati ya West Ham yamefungwa na Andy Carroll na Aaron Cresswel PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LEICESTER CHUPUCHUPU KUGONGWA NYUNDO KING POWER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top