• HABARI MPYA

    Sunday, April 10, 2016

    JOSHUA AMLAZA MMAREKANI RAUNDI YA PILI NA KUBEBA MKANDA WA IBF

    Bondia Mmarekani, Charles Martin akiwa chini baada ya kuangushwa na Muingereza Anthony Joshua katika la ubingwa wa dunia uzito wa juu ukumbi wa O2 Arena usiku huu. Joshua ametwaa ubingwa wa dunia wa IBF uliokuwa unashikiliwa na Mmarekani huyo kwa ushindi wa Knockout (KO) Raundi ya Pili  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOSHUA AMLAZA MMAREKANI RAUNDI YA PILI NA KUBEBA MKANDA WA IBF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top