• HABARI MPYA

  Saturday, April 09, 2016

  DUUUU! SC VILLA YAPIGWA 7-0 MOROCCO

  SC Villa ya Uganda imefungwa mabao 7-0 na FUS Rabat ya Morocco katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Afrika ugenini leo.
  Mabao ya Rabat yamefungwa na Mourad Batna, As Mandaw, Abdessalam Benjelloun, Mehdi Ei Bassel, Maroune Saadane, Youssef El Gnaoui na Mohamed Fouzair.
  Kwa matokeo hayo, SC Villa inatakiwa kushinda 8-0 katika mchezo wa marudiano Uwanja wa Taifa wa Nelson Mandela, Namboole, Kampala wiki ijayo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DUUUU! SC VILLA YAPIGWA 7-0 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top