• HABARI MPYA

  Saturday, April 16, 2016

  BONDIA WA TANZANIA AMTWANGA MRUSI HADI HURUMA PANAMA

  Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kulia) akiwa na mpinzani wake Zapir Rasulov wa Urusi (kushoto) baada ya pambano lao lisilo la ubingwa uzito wa Light usiku wa jana ukumbi wa Centro de Convenciones Vasco Nunez de Balboa uliopo ndani ya hoteli ya Panama mjjni Panama City. King Class Mawe alishinda kwa pointi
  King Class Mawe (kulia) akiwa na bondia maarufu duniani, Shane Mosley (katikati)aliyewahi kumtoa jasho mbabe wa Marekani, Floyd Mayweather Jr. Kushoto ni aliyekuwa kocha wa King Class Mawe katika pambano hilo, Emmanuel Mlunda ambaye pia ni Rais wa taasisi ya ngumi za kulipwa ya PST
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BONDIA WA TANZANIA AMTWANGA MRUSI HADI HURUMA PANAMA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top