Wakali watatu wa Barcelona, Luis Suarez, Neymar Junior na Lionel Messi wakijishangaa baada ya kufungwa 2-1 na Valencia usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa La Liga Uwanja Camp Nou, huo ukiwa mchezo wa tatu mfululizo wanafungwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13. Mabao ya Valencia yalifungwa na Ivan Rakitic aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa krosi ya Guilherme Siquiera dakika ya 26 na Santi Mina dakika ya 45, wakati la Bara lilifungwa na Messi dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
REX ENERGY YAWAANDAA VIJANA 100 KUTOKA DIT KABLA YA KUWAPA AJIRA
-
*Na Ripota Wetu, Globu ya jamii*
*MKURUGENZI Mkuu wa Rex Energy inayojuhusisha na utoaji wa huduma ya umeme
wa jua Francis Kibhisa ameamua kutoa mafunzo ya ...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment