• HABARI MPYA

    Saturday, February 13, 2016

    YANGA SC WAKIPIGA 'MAAKULI' TAYARI KUWAVAA CERCLE JOACHIM NCHINI MAURITIUS

    Wachezaji wa Yanga SC wakipata chakula katika hoteli waliyofikia mjini Curepipe, Mauritius kabla ya kwenda uwanjani kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Cercle de Joachim Saa 9.30 leo

    Yanga SC walioondoka jana Saa 1:00 usiku walifika salama majira ya Saa 8:15 usiku tayari kwa mchezo wa leo

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAKIPIGA 'MAAKULI' TAYARI KUWAVAA CERCLE JOACHIM NCHINI MAURITIUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top