• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2016

  WELBECK ARUDI NA NEEMA ZAKE ARSENAL, APIGA LA USHINDI GUNNERS WAKIILAZA 2-1 LEICESTER CITY

  Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya mwisho katika ikishinda 2-1 dhidi yawapinzani wao katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England, Leicester City mchana wa leo Uwanja wa Emirates. Leicester ndiyo waliotangulia kupata bao kupitia kwa Jamie Vardy kwa penalti dakika ya 45, kabla ya Theo Walcott kuisawazishia Arsenal dakika ya 70. Leicester ilimpoteza beki wake Danny Simpson aliyetolewa kwa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WELBECK ARUDI NA NEEMA ZAKE ARSENAL, APIGA LA USHINDI GUNNERS WAKIILAZA 2-1 LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top