• HABARI MPYA

    Friday, February 12, 2016

    WAZIRI WA MAGUFULI AZURU OFISI ZA TFF, AJIONEA HALI HALISI TWIGA STARS

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura (kulia) akipokea jezi ya timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars leo kutoka kwa Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine (katikati) wakati alipotembela ofisi za TFF kujionea shughuli mbalimbali zinazondeshwa na shirikiso hilo pamoja na kambi ya Twiga Stars. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Sheikh Said Mohammed. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI WA MAGUFULI AZURU OFISI ZA TFF, AJIONEA HALI HALISI TWIGA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top