• HABARI MPYA

  Thursday, February 04, 2016

  SUAREZ APIGA NNE, MESSI TATU BARCELONA IKIITANDIKA 7-0 TIMU YA GARY NEVILLE

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) Luis Suarez (katikati) na Neymar (kushoto) wakifurahia ushindi wao wa mabao 7-0 dhidi ya Valencia ya kocha Muingereza, Gary Neville katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao Barca yalifungwa na Suarez manne na Messi matatu, huku Neymar akikosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ APIGA NNE, MESSI TATU BARCELONA IKIITANDIKA 7-0 TIMU YA GARY NEVILLE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top