• HABARI MPYA

    Tuesday, February 02, 2016

    SIMBA SC WALIVYOJIANDAA KIKAMILIFU KWA AJILI YA MGAMBO KESHO

    Kiungo Mzimbabwe wa Simba SC, Justice Majabvi akikimbia katika mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Boko Veterani kujiandaaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Mgambo JKT kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
    Beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwa mbele ya wenzake wakati wa mazoezi ya kukimbia jana
    Hapa ni mazoezi ya kucheza mipira ya juu kwa kichwa
    Hamisi Kiiza ameonyesha yuko tayari kabisa kwa mchezo wa kesho

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOJIANDAA KIKAMILIFU KWA AJILI YA MGAMBO KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top