• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2016

  SIMBA SC ILIVYOIKALISHA STAND UNITED JANA NA KUPAA KILELENI LIGI KUU

  Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka beki wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Simba SC ilishinda 2-1

  Wachezaji wa Simba SC wakiwa wamemuangukia mfungaji wa mabao yao yote mawili jana, Hamisi Kiiza 'Diego'
  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kulia) akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Stand United
  Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza akipasua katikati ya wachezaji wa Stand United
  Beki hodari wa Simba SC, Hassan Kessy akimfunga tela kiungo mkongwe wa Stand United, Amri Kiemba
  Ibrahim Hajib wa Simba SC akipambana katikati ya wachezaji wa Stand United
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOIKALISHA STAND UNITED JANA NA KUPAA KILELENI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top