• HABARI MPYA

    Sunday, February 14, 2016

    RONALDO AKANDAMIZA MBILI REAL MADRID IKISHINDA 4-2 LA LIGA

    Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Athletic Bilbao usiku wa Jumamosi Uwanja wa Bernabeu kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na James Rodriguez na Toni Kroos, wakati ya Bilbao yalifungwa na Javier Eraso na Gorka Elustondo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AKANDAMIZA MBILI REAL MADRID IKISHINDA 4-2 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top