• HABARI MPYA

  Thursday, February 18, 2016

  REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE

  Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Radja Nainggolan wa AS Roma katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimpico mjini Roma, Itali. Real imeshinda 2-0 mabao ya Ronaldo na Jese Rodriguez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID YAIKANYAGA 2-0 AS ROMA, RONALDO KAMA KAWAIDA YAKE Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top