• HABARI MPYA

  Wednesday, February 17, 2016

  MSIMU WA PILI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS AFRIKA WAZINDULIWA DAR

  Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, Nalimi Mayunga akiimba wakati wa uzinduzi wa msimu wa pili wa shindano la muziki la Airtel Trace Music Stars leo mjini Dar es Salaam. Shindano huwapa fursa Watanzania kuonyesha vipaji vyao na  hatimaye kujishindia zawadi nono, ikiwemo kwenda kurekodi video na wimbo na mwanamuziki nyota wa Marekani, Keri Hilson

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSIMU WA PILI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS AFRIKA WAZINDULIWA DAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top