• HABARI MPYA

  Friday, February 12, 2016

  MESSI ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LA LIGA KWA MARA YA KWANZA

  MSHAMBULIAJI Lionel Messi ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga kwa mara yake ya kwanza.
  Tuzo hiyo imekuwa ikitolewa tangu mwanzoni mwa msimu wa 2013-2014, lakini mshindi huyo wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, maarufu kama Ballon d'Orndiyo anashinda kwa mara ya kwanza.
  Hatimaye mkali huyo wa mabao wa Barcelona ameshinda tuzo katika mara ya 23, baada ya kufunga mabao sita katika mechi za Januari.


  Lionel Messi akikabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa La Liga mwezi Januari
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LA LIGA KWA MARA YA KWANZA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top