• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2016

  MBWANA SAMATTA KAZINI ULAYA JANA GENK IKIUIA 6-1 UBELGIJI

  Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Samatta (kushoto) pembeni ya mchezaji wa Waasland-Beveren katika mchezo wa Ligi Kuu ya Ubelgiji jana Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk, Ubelgiji. KRC Genk ilishinda 6-1
  Samatta (wa tatu kutoka kulia) akishangilia na wachezaji wenzake bao la sita
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBWANA SAMATTA KAZINI ULAYA JANA GENK IKIUIA 6-1 UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top