• HABARI MPYA

  Saturday, February 13, 2016

  MBEYA CITY WAPIGA BAO LINGINE NJE YA UWANJA, SIMBA NA YANGA UCHUMI WAMEUKALIA!

  Baada ya kufanikiwa kwenye mauzo ya jezi zake, Mbeya City FC ya Mbeya iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara miaka mitatu iliyopita, sasa imeongeza bidhaa nyingine sokoni, amabyo ni vikombe vyenye nembo ya klabu, ambavyo tayari vinapatikana Mbeya yote na mikoa jirani. Ni fundisho lingine kwa klabu kongwe nchini, Simba na Yanga ambazo zimeshindwa kutumia fursa ya kuwa na mashabiki wengi kwa kujinufaisha kibiashara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MBEYA CITY WAPIGA BAO LINGINE NJE YA UWANJA, SIMBA NA YANGA UCHUMI WAMEUKALIA! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top