• HABARI MPYA

    Sunday, February 14, 2016

    MBEYA CITY 'ILIVYOLISHUGHULIKIA' TOTO LA YANGA JANA SOKOINE

    Kiungo wa Mbeya City, Ramadhani Chombo 'Redondo' (kulia) akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 5-1 jana dhidi ya Toto Africans ya Mwanza kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. PICHA NA DAVID NYEMBE, MBEYA






    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBEYA CITY 'ILIVYOLISHUGHULIKIA' TOTO LA YANGA JANA SOKOINE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top