Mshambuliaji wa Sunderland, Jermain Defoe akiitia misukosuko ngome ya Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Light. Sunderland imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Wahbi Khazri na kipa David de Gea aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa mpira wa kichwa wa Lamine Kone, wakati bao la Man United limefungwa na Anthony Martial PICHA ZAIDI GONGA HAPA
TCCIA YAZINDUA HUDUMA YA TYM
-
*Makamu wa Rais TCCIA Octavian Mshiu (katikati) akizundua huduma mpya ya
TMY leo, kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa TCCIA Gotfrid Muganda
ak...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment