• HABARI MPYA

    Wednesday, February 03, 2016

    LUNYAMILA ENZI ZAKE ALIKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI

    Winga wa Yanga SC, Edibily Jonas Lunyamila (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Simba SC, Mathias Mulumba katika mechi ya Kombne la Hedex Juni 30, mwaka 1996 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza. Yanga SC ilishinda 2-0 mabao ya Bakari Malima na Lunyamila

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUNYAMILA ENZI ZAKE ALIKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top