• HABARI MPYA

    Saturday, February 06, 2016

    LIVERPOOL YABANWA MBAVU NA SUNDERLAND 2-2 ANFIELD

    Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino akiifungia timu yake bao dakika ya 59 katika sare ya 2-2 na Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Adam Lallana, wakati mabao ya Sunderland yamefungwa na Adam Johnson na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YABANWA MBAVU NA SUNDERLAND 2-2 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top