• HABARI MPYA

  Saturday, February 06, 2016

  HANS POPPE AAMUA KUFANYA KWELI UJENZI WA UWANJA WA SIMBA

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kulia) akiimuelekeza jambo Mhandisi Frank (kushoto) kwa ajili ya uwekaji nyasi bandia kwenye Uwanja wa klabu hiyo uliopo eneo la Bunju, Dar es Salaam leo. Katikati ni Rais wa Simba SC, Evans Aveva
  Hans Poppe amejitolea kuijengea Simba SC Uwanja kwa ajili ya mazoezi
  Hans Poppe amesema nyasi bandi zimekwishaagizwa kutoka China na zinatarajiwa kuingia nchini kuanzia Machi mwaka huu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HANS POPPE AAMUA KUFANYA KWELI UJENZI WA UWANJA WA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top