• HABARI MPYA

  Thursday, February 04, 2016

  EVERTON WAIKUNG'UTA NEWCASTLE 3-0, OVIEDO AMTANDIKA GUU LA MBAVU SISSOKO

  Beki wa pembeni wa Everton, Bryan Oviedo akimkanyaga mguu wa mbavuni, kiungo wa Newcastle, Moussa Sissoko katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Everton ilishinda 3-0 mabao ya Aaron Lennon na Ross Barkley mawili, moja la penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: EVERTON WAIKUNG'UTA NEWCASTLE 3-0, OVIEDO AMTANDIKA GUU LA MBAVU SISSOKO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top