• HABARI MPYA

  Friday, February 05, 2016

  DANNY WELBECK AGONGA SAA NZIMA ARSENAL IKICHAPA MTU 4-1

  Mshambuliaji Danny Welbeck akiichezea timu ya vijana ya Arsenal chini ya umri wa miaka 21 dhidi ya Brighton Uwanja wa Colney, London. Welbeck anayepambana kurudi uwanjani baada ya kuwa nje kwa mua mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti alicheza kwa saa moja U-21 ya Arsenal ikishinda 4-1, mabao yake yakifungwa na Reiss Nelson, Krystian Bielik, Stephy Mavididi na Ismael Bennacer PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DANNY WELBECK AGONGA SAA NZIMA ARSENAL IKICHAPA MTU 4-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top