• HABARI MPYA

  Tuesday, February 16, 2016

  COASTAL UNION NA AZAM FC KATIKA PICHA MKWAKWANI

  Kiungo wa Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza akimtoka mshambuliaji wa Coastal Union, Ally Ahmed 'Shiboli' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Coastal ilishinda 1-0  Abasarim Chidiebere wa Ciastal akimiliki mpira mbele ya beki wa Azam FC, Serge Wawa Pascal

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION NA AZAM FC KATIKA PICHA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top