• HABARI MPYA

    Sunday, February 14, 2016

    CHELSEA YAANZA KUTOA VIPIGO VYA 'MBWA MWIZI', YAICHAPA 5-1 NEWCASTLE

    Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Willian (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Diego Costa baada ya kufunga katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Newcastle usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Costa, Pedro mawili na Bertrand Traore, wakati la Newcastle lilifungwa na Andros Townsend  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA YAANZA KUTOA VIPIGO VYA 'MBWA MWIZI', YAICHAPA 5-1 NEWCASTLE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top