• HABARI MPYA

  Wednesday, February 03, 2016

  BOSI WA ULIMWENGU, KATUMBI AKUTANA NA RONALDO, PEREZ MJINI MADRID


  Rais wa TP Mazembe ya DRC, Moise Katumbi (kushoto), klabu anayochezea Mtanzania, Thomas Ulimwengu akiwa na mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo mwishoni mwa wiki mjini Madrid, Hispania.

  Katumbi pia alikutana na Rais wa Real Madrid, Florentino Perez Januari 31 kwa mazungumzo ya ushirika baina ya klabu hizo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOSI WA ULIMWENGU, KATUMBI AKUTANA NA RONALDO, PEREZ MJINI MADRID Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top