• HABARI MPYA

  Tuesday, January 05, 2016

  ZIDANE KOCHA MPYA REAL MADRID, BENITEZ ATUPIWA VIRAGO

  YAMETIMIA, Rafa Benitez amefukuzwa Real Madrid baada ya miezi saba ya kuwa kazini na sasa gwiji wa klabu na Mwanasoka Bora wa zamani wa dunia, Zinedine Zidane amechukua nafasi yake.
  Uamuzi huo umefikiwa katika cha dharula baada ya Real kulazimishwa sare ya 2-2 na Valencia Jumapili.
  Rais wa klabu, Florentino Perez amefikia uamuzi huo wakati klabu ikiwa inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa La Liga, ikizidiwa pointi mbili na mahasimu Barcelona, na nne dhidi ya vinara, Atletico Madrid.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIDANE KOCHA MPYA REAL MADRID, BENITEZ ATUPIWA VIRAGO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top