• HABARI MPYA

    Friday, January 08, 2016

    USINGIZI MNONO UKIWA NA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA, SAMATTA HUYO!

    Nyota wa Tanzania, Mbwana Ally Samattta akiwa amelala na tuzo yake Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika katika hoteli aliyofikia mjini Abuja usiku wa jana baada ya kushinda tuzo hiyo mjini humo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: USINGIZI MNONO UKIWA NA TUZO YA MWANASOKA BORA AFRIKA, SAMATTA HUYO! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top