• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  SUAREZ AFUNGIWA MECHI MBILI HISPANIA KWA KUTUKANA WACHEZAJI WA ESPANYOL

  SHIRIKISHO la Soka Hispania limemfungia mechi mbili za Kombe la Mfalme, mshambuliaji wa Barcelona baada ya kumkuta na hatia ya kuwatukana wapinzani, Espanyol.
  Ripoti ya marefa baada ya mechi hiyo ambayo Barcelona ilishinda 4-1 Jumatano Uwanja wa Camp Nou, imesema Suarez aliwatukana wachezaji wa Espanyol baada ya mechi. Wachezaji wawili wa Espanyol walitolewa kwa kadi nyekundu kwenye mchezo na Barcelona imesema itakatia rufaa adhabu hiyo ikikanusha Suarez kuwatukana wapinzani.

  Luis Suarez akiznguana na wachezaji wa Espanyol katika ushindi wa Barcelona wa 4-1  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SUAREZ AFUNGIWA MECHI MBILI HISPANIA KWA KUTUKANA WACHEZAJI WA ESPANYOL Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top