• HABARI MPYA

  Thursday, January 07, 2016

  SIMBA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA AMAAN, ZANZIBAR

  Kiungo wa Simba SC, Said Ndemla (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita kiungo wa URA, Derrick Tekwo jana katika mchezo wa Kundi A, Kombe la Mapinduzi Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0
  Mwinyi Kazimoto wa Simba SC, akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa URA
  Mshambuliaji wa Simba SC, Danny Lyanga (kulia) akimiliki mpira pembeni ya Julius Ntambi wa URA
  Danny Lyanga akijaribu kupasua katikati ya wachezaji wa URA
  Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kizza akimtoka beki wa URA, Sam Senkoom
  Mshambuliaji wa URA, Elkannah Nkugwa akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba SC, Juuko Murushid

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA AMAAN, ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top