• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    SIKU SAMATTA ANATUA LUBUMBASHI KUJIUNGA NA TP MAZEMBE

    Mshambuliaji Mbwana Ally Samatta (kulia) wakati anawasili Lubumbashi mwaka 2011 kusaini Mkataba wa kujiunga na TP Mazembe ya DRC. Wengine kutoka ksuhoto ni Makamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu', Meneja wake, Jamal Kisongo na Ofisa wa TP Mazembe aliyewapokea.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIKU SAMATTA ANATUA LUBUMBASHI KUJIUNGA NA TP MAZEMBE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top