• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    SAMATTA ALIVYOTAMBA NA TUZO YAKE JANA DAR, ILIKUWA OYEE OYEE KILA MITAA!

    Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika, Mbwana Ally Samatta akiitembeza tuzo yake aliyoshinda Alhamisi mjini Abuja, Nigeria baada ya kuwasili nyumbani, Dar es Salaam usiku wa kuamkia jana.
    Samatta akiwa na Waziri wa Michezo, Nape Nnauye katika hafla maalum ya kumpongeza jana
    Samatta akiwasili ukumbini kwa ajili ya kuzungumza na Waandishi wa Habari jana Dar es Salaam
    Mbwana Samatta akifurahia na tuzo yake jana mjini Dar es Salaam 
    Samatta akizungumza na Waandishi wa Habari katika meza moja na Nnauye

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SAMATTA ALIVYOTAMBA NA TUZO YAKE JANA DAR, ILIKUWA OYEE OYEE KILA MITAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top