• HABARI MPYA

    Sunday, January 10, 2016

    ROONEY AISONGESHA MBELE MAN UNITED KOMBE LA FA


    Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akiifungia timu yake kwa penalti bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Sheffield United jana uwanja wa Old Trafford na kuivusha Raundi ya Nne ya Kombe la FA England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROONEY AISONGESHA MBELE MAN UNITED KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top