• HABARI MPYA

  Thursday, January 14, 2016

  MTIBWA SUGAR NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN

  Kiungo wa Mtibwa Sugar, Shizza Kichuya akimiliki mpira katika ya wachezaji wa URA katika fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. URA ilishinda 3-1
  Nahodha wa URA, Simeone Massa akikabidhiwa Kombe la mgeni rasmi Uwanja wa Amaan usiku wa jana
  Kiungo mshambuliaji wa URA, Moor Semakula (wa pili kulia) akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Mtibwa Sugar
  Kiungo mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohammed Ibrahim (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Sam Sekito wa URA
  Kiungo cmhezeshaji wa Mtibwa Sugar, Ibrahim Rajab 'Jeba' akimtoka beki wa URA katika mchezo wa jana
  Wachezaji wa Mtibwa na URA wakiwania mpira wa juu jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar
  Kikosi cha URA kilichoichapa Mtibwa Sugar jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar
  Mtibwa Sugar imefungwa kwa mara ya pili mfululizo katika fainali ya Kombe la Mapinduzi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR NA URA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top