• HABARI MPYA

  Friday, January 08, 2016

  MGOSI NA MANYIKA WALIVYOISHUHUDIA YANGA SC IKIIADHIBU MTIBWA JANA

  Wachezaji wa Simba SC, Mussa Mgosi (kulia) na kipa Peter Manyika (kushoto) wakifuatilia mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi kati ya Yanga SC na Mtibwa Sugar jana usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Leo Simba wanacheza mechi ya Kundi A dhidi ya JKU Uwanja wa Amaan. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MGOSI NA MANYIKA WALIVYOISHUHUDIA YANGA SC IKIIADHIBU MTIBWA JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top