• HABARI MPYA

  Thursday, January 07, 2016

  MESSI APIGA MBILI, BARCA YAICHAPA ESPANYOL 4-1 KOMBE LA MFALME

  Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Espanyol usiku huu katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Nou Camp. Mabao mengine ya mabingwa hao watetezi yamefungwa na Gerard Pique na Neymar, wakati bao pekee la Espanyol limefungwa na Felipe Caicedo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI, BARCA YAICHAPA ESPANYOL 4-1 KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top